
Mbunge wa Nzega Kupitia CCM, Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Mkoa wa Lindi mara baada ya Kuwasili mkoani hapa kwa ajili ya Kupata wadhamini ili aweze
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.

Mbunge wa Nzega Kupitia CCM (katikati), Hamisi Kigwangalla akisaini fomu za waliomdhani katika Ofisi za CCM Mkoa wa Lindi mara baada ya Kuwasili mkoani hapa kwa ajili ya Kupata wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kumdhamini Mh. Hamisi Kigwangalla katika Ofisi za CCM Mkoa wa Lindi mara baada ya Kuwasili mkoani hapa kwa ajili ya Kupata wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.