DIAMOND PLATNUMZ ACHOSHWA NA MANENO MABAYA YA WASIOMPENDA, AAMUA KUWAPA MAKAVU

Kupitia Mtandao mmoja wa Kijamii Msanii wa Tanzania Diamond Platnumz ameonyeshwa kukerwa na wafuasi wake katika Page hiyo kwa kutoa maneno ya kejeli juu yake. Katika kuonesha hisia zake za kukerwa na tabia hiyo ameamua kuwauliza swali. 
Je wewe unaweza kusaidia kujibu?

Previous Post Next Post