Na. Abdulaziz, Kilwa
Mjumbe wa mkutano mkuu wilaya Kilwa mkoani Lindi kupitia chama cha wananchi Cuf Mohamedi Taher Abubakari ametangaza nia ya kuwania ubunge jimbo la Kilwa Kusini.

Mohamedi alitangaza nia hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari, wa mikoa ya Lindi uliofanyika kwenye wilayani Kilwa
“Nimetafakari kufuatia maelezo ya chama changu, nimejipima na nimetazama hali halisi ya maendeleo na kero ya za huduma za kijamii mbovu jambo ambalo kwa bahati mbaya jimbo hilo linaongozwa na mbunge wa Cuf ”, alisema Taher
Alisema kuwa uamuzi wa kuomba nafsi hiyo umetokana na shinikizo kutoka kwa wananchi wa manispaa ya jimbo la kilwa kusini na kumtaka kuchukua form ili awe mbunge wa jimbo hilo baada ya kukosa imani na mbunge wao wa sasa
“Nimesukumwa na makundi ya wananchi wangu wazee,wanawake, na vijana baada ya mbunge sasa kushindwa kukidhi matakwa ya wapigakura wake na kushindwa kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni ya kuomba ubunge mwaka 2010 nimedhamiria kuleta maendeleo” Alisema Mohamedi .Alisema Jambo la kwanza akishinda nafasi hiyo endapo atapitishwa na chama chake, ataweka mipango ambayo itawasaidia wananchi waondokane na umasikini na atapambana na wizi wa fedha za kodi za wananchi za miradi ya maendeleo kama elimu, barabara, maji, ujenzi wa zahanati na vituo vya afya zinazoishiwa kuliwa na watendaji wa halimashauri, Taasisi za umma na serikali kuu kuhakikisha zinafanya kazi zilizolengwa .
“Nitapambana na wizi wa fedha ili miradi ilenge kufanya kazi iliyokusudiwa kama ilivyopangwa na njia nitakayotumia ni kuweka mipango mizuri na usimamizi” alisema MohamediAlisema kuwa atasimamia suala la elimu kwa kuhakikisha kuwa kila mtoto anayestaili kwenda shule kuanzia chekechea anakwenda na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanafika shule.
Kwa upande wake mzee Saidi salum wa Kilwa Masoko alisema wamemshauri kijana huyo kuomba nafsi ili aweze kuwa chachu ya maendeleo na kutokana na kukubalika makundi yote ya kijamii.
Saidi alisema wazee wana matumaini sana na kijana hivyo amewataka wananchi wa jimbo hilo kuunga mkono ili aweze kuwa mbunge kwa maendeleo ya wananchi wa wilaya Kilwa.

Tags
HABARI ZA KITAIFA