Unknown Unknown Author
Title: BILIONEA DANGOTE AKAGUA UFUKWE ATAKAOJENGA BANDARI YAKE YA KISASA MTWARA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mfanyabiashara maarufu Afrika, ambaye ni Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko ...
Alhaji Dangote-Mtwara
Mfanyabiashara maarufu Afrika, ambaye ni Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dabgote akinyoosha mkono kuangalia eneo la ufukwe wa Bahari ya Hindi katika Kijiji cha Mgao, Kata ya Maumbu, Tarafa ya Mayanga, Mtwara Vijijini, ambapo atajenga bandari yake ya kisasa kwa ajili kusafirisha saruji itakayozalishwa kwenye kiwanda chake kikubwa kinachojengwa katika Kijiji cha Msijute.
Alhaji Dangote-Mtwara
Alhaji Dangote akiwa na viongozi wa Kijiji cha Mgao pamoja na wananchi akikagua uwanja heka mbili na nusu aliyopewa kwa ajili ya kujenga makazi yake katika kijiji hicho
Alhaji Dangote-Mtwara
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgao, Shaa (kushoto) akimuonesha Dangote eneo la uwanja aliopewa na wanakijiji kwa ajili ya ujenzi wa mkazi yake. Kijiji nacho kitanufaika na Dangote ambaye atawajengea shule, hospitali pamoja na miradi mingine ya maendeleo.
Alhaji Dangote-Mtwara
Msafara wa Alhaji Dangote ukielekea eneo patakapojengwa Bandari.
Alhaji Dangote-Mtwara
Alhaji Dangote akishuka kwenye ndege na kulakiwa na Mwakilishi Mkazi wake hapa nchini, Esther Baruti
Alhaji Dangote-Mtwara
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu akisalimiana na Alhaji Dangote
Alhaji Dangote-Mtwara
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dedengu akimtambulisha Alhaji Dangote kwa wananchi alipowasili katika Kijiji cha Mgao, ambapo amepewa Dangote eneo la ujenzi wa Bandari
Alhaji Dangote-Mtwara
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgao, Shaa akihojiwa na wananchi kuhusu manufaa watakayopata wanakijiji endapo Nadari hiyo ikijengwa
Alhaji Dangote-Mtwara
Alhaji Dangote akizungumza na wanahabari kuhusu ujenzi wa bandari hiyo
Alhaji Dangote-Mtwara
Msafara wa Dangote ukitumia magari kutembelea kiwanda cha saruji kinachojengwa
Alhaji Dangote-Mtwara
Alhaji Dangote akiaga

About Author

Advertisement

 
Top