HATIMAE MADEE ATIMIZA AHADI YAKE ALIYOWEKA IKIFIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA, IFAHAMU HAPA AHADI HIYO

Madee Ally
Madee anasema amefanikiwa kutimiza ahadi yake ya kuhamia nyumbani kwake Kimara na leo anamalizia kupanga vitu ndani ya nyumba. Kuhusu kazi mpya ya Dogo Janja iliyotakiwa kutoka leo 23 April 2014 Madee amesema Msiba wa Abdu Bonge ulibadilisha ratiba nyingi ndio maana hawajakamilisha kazi za Dogo Janja.
Nyumba ya Madee
Previous Post Next Post