Unknown Unknown Author
Title: UJENZI WA MGAHAWA UNAOELEA UMESIMAMA UJENZI WAKE, WAKOSA USH BILIONI 2
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwaka 2013 ujenzi wa hotel ya kwanza Afrika Mashariki itakayokuwa katikati ya maji kwenye ziwa Victoria ulianza nchini Uganda, huku ukighar...
Mwaka 2013 ujenzi wa hotel ya kwanza Afrika Mashariki itakayokuwa katikati ya maji kwenye ziwa Victoria ulianza nchini Uganda, huku ukigharamiwa na serikali ya nchi hiyo.

Mgahawa Unaoelea
Mchoro wa jengo la hotel hiyo
Hotel hiyo inayotarajiwa kuwa na ghorofa nne, moja ikiwa ni ya mghahawa, ya pili ikiwa na vyumba vya kulala na mbili zinazosalia ni kwaajili ya matumizi mengine ilitarajiwa kukamilika baada ya miaka miwili toka ujenzi uanze.

Mgahawa Unaoelea
Hatua za awali za ujenzi wa hotel hiyo, picha ya mwaka 2013

Taarifa za sasa zinasema kuwa ujenzi huo umesimama kutokana na ukosefu wa shilingi bilioni 2 za Uganda (zaidi ya 1,252,000,000 TSH) zinazohitajika kuweza kukamilisha ujenzi huo.

Source: Daily Monitor

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top