Unknown Unknown Author
Title: MVUA YA MAWE YALETA MAAFA MAKUBWA MKOANI SHINYANGA, WATU 38 WAPOTEZA MAISHA, 55 WAJERUHIWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo...
Maafa Shinyanga
Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia march 3, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.
Maafa Shinyanga

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top