THIS IS WHAT JACKLINE WOLPER WRITE IN HER INSTAGRAM ACCOUNT...

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper” akionekana amekaa kochini akiwa na kinywaji mkononi, aliandika maneno haya mara baada ya kubandika picha hiyo hapo;
Jackline Massawe “Wolper”
“ 2015 ni mwaka wakuish utakavyo na huu ni mwaka wakuishi watakavyo ..Kauli mbiu bwana nazikubali sana”
Hii kwako imekaaje?
Mie namuunga mkono kabisa nakusema haya hapa chini:
'You've gotta dance like there's nobody watching, Love like you'll never be hurt, Sing like there's nobody listening, And live like it's heaven on earth.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post