Unknown Unknown Author
Title: MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LIGI YA VODACOM:: SIMBA YAZINDUKA, AZAM FC YAINYATIA YANGA KILELENI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bao la Dakika ya 31 la John Bocco Leo huko Mkwakwani Tanga limewapa Azam FC ushindi wa Bao 1-0 na Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Si...
Ligi kuu ya vodacom na lindiyetu.com
Bao la Dakika ya 31 la John Bocco Leo huko Mkwakwani Tanga limewapa Azam FC ushindi wa Bao 1-0 na Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Simba imezinduka toka kipigo cha 2-0 toka Mgambo JKT na kuichapa Ruvu Shooting Bao 3-0 zote zikiwa ni Mechi za Ligi Kuu Vodacom.

Bao za Simba Leo hii zote zilifungwa Kipindi cha Pili na Ibrahim Hajibu, kwa Penati, Awadh Juma na Elias Maguri.

Yanga bado wako kileleni mwa Ligi wakiwa na Pointi 37 kwa Mechi 18 wakifuata Azam FC wenye Pointi 36 kwa Mechi 18 na kisha Simba waliocheza Mechi 20 na wana Pointi 32.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top