DIAMOND PLATNUMZ ATUONESHA MJENGO WAKE MPYA KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM ( PICHA)

Hii ndio nyumba mpya ya mwanamuziki anae wakimbiza wenziwe barani Africa Diamond Platnumz ambayo mwenyewe ameipa jina la "STATE HOUSE" kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe hii ni moja ya kati ya nyumba kumi anazo zimiliki 
Jikoni ndio hapo everything on point
Diamond Aliweka hii caption kwenye picha hii.
"In my 70Million Pure Gold plated toillet...pupping and Movies Lol!��..i can't wait to play dirty game with her"
The view of my Custom made designer Gypsum Ceiling from my Bed... ( maneno ya raisi wa wasafi hayo)

moja ya sehemu ya kupumzikia,

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post