JOKETI ATOBOA SIRI..!!! HASHEEM THABIT ALIKUWA MTAM KULIKO DIAMOND PLATNUMZ

Jokate na Hasheem
Mrembo na Staa wa Bongo Movie Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .

Akizungumza na Gazeti la Kiu hivi karibuni, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.

Kuhusu Diamond ambae pia amewahi kutoka nae, Kidoti amesema haku enjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.
Chanzo. Bongo Movie

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post