Unknown Unknown Author
Title: HIVI NDIVYO CAPT. JOHN KOMBA ALIVYOZIKWA, JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YAKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba ukiwatayari kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele k...
mazishi ya capt. Komba
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba ukiwatayari kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa, Mkoani Ruvuma. 
mazishi ya capt. Komba
Edward Lowasa akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa, Mkoani Ruvuma. 
mazishi ya capt. Komba
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa, Mkoani Ruvuma. 
mazishi ya capt. Komba
Jeneza la aliye kuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi likiwasili eneo la Makaburu tayari kwa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa, Mkoani Ruvuma. 
mazishi ya capt. Komba
Anne Makinda wakiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa, Mkoani Ruvuma. 
mazishi ya capt. Komba
Dkt Emmanuel Nchimbi (mb Songea Mjini) akiwa na wabunge wa Mkoa wa Ruvuma akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa, Mkoani Ruvuma.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top