
Habari zilizotufikia hivi Punde zinadai kuwa Msanii wa Ucheshi ajulikanaye kwa Jina la Defender amafariki Dunia. Sababu ya Kifo chake bado Hatujakifahamu tunaendelea kufatilia na tutajuzana Hapa hapa Hivyo endelea kuwa nasi.
Tags
HABARI ZA WASANII