BREAKING NEWS:: TIP TOP CONNESTION NA BONGO FLEVA ZIMEPATA HUU MSIBA MKUBWA LEO HII…

ABDUL BONGE
Tasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia leo March 28.

Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika endelea kuwa karibu na lindiyetu.com kwa taarifa zaidi.

Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa leo March 28.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post