BONDIA MOHAMED MATUMLA (SNAKE BOY JR) AMCHAPA WANG XIN HUA

Mohamed Matumla Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam usiku huu.
Mohamed Matumla

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post