Unknown Unknown Author
Title: YANGA SC YASHINDWA KUTAMBA KWA NDANDA FC UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mshambuliaji Machachari wa timu ya Ndanda, Masoud Ally akitoa pasi maridadi kabisa mbele ya beki wa timu ya Yanga,Juma Abdul wakati wa mta...
Yanga SC Vs Ndanda FCMshambuliaji Machachari wa timu ya Ndanda, Masoud Ally akitoa pasi maridadi kabisa mbele ya beki wa timu ya Yanga,Juma Abdul wakati wa mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0.
Yanga SC Vs Ndanda FCMrisho Ngassa wa Yanga akiondoka na mpira huku akifuatwa na Beki wa Ndanda,Paul Ngalema wakati wakati wa mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0.
Yanga SC Vs Ndanda FCNyanda wa timu ya Yanga, Ally Mustafa akiwa makini kulilinda lango lake.
Yanga SC Vs Ndanda FCMshambuliaji wa timu ya Ndanda,Omega Seme akiangalia namna ya kumtoka Beki wa Yanga,Oscar Joshua mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0.
Yanga SC Vs Ndanda FCBeki Hasifiwi: Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiruka juu kuondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwao katika mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0.
Yanga SC Vs Ndanda FCBeki wa timu ya Yanga, Rajab Zahir akiwania mpira na Jacob Massawe wa Ndanda.
Yanga SC Vs Ndanda FCNadir Haroub wa Yanga akijaribu kuondosha hatari ilikuwa langoni kwake.
Yanga SC Vs Ndanda FCDan Mrwanda wa Yanga akitafuta namna ya kumtoka beki wa Ndanda,Paul Ngalema.
Yanga SC Vs Ndanda FCHapiti mtu hapa: ni kama anaonekana kusema beki wa timu ya Ndanda,Paul Ngalema wakati akimdhibiti Mshambuliaji wa Yanga,Simon Msuva.
Yanga SC Vs Ndanda FCKocha wa Timu ya Yanga,Hans Van Der Pluijm akifanyiwa mahojiano na Mtangazaji wa Michezo wa Radio Clouds,Issa Maeda.
Yanga SC Vs Ndanda FCWashabiki wa timu ya Ndanda wakiishangilia timu yao.

PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top