
Kama Ilivyo ada ya wasanii wengi hapa nchini hata duniani kwa Ujumla wakiwa wanakaribia kuanchia kitu kipya huanza kunogesha kazi hizo kwa kuachia picha za kazi hiyo,
Diamond Platnumz ametupia picha hizi katika Moja ya Mtandao wa Kijamii lakini Hajaeleza ni Kazi mpya inayofuata au ni Video ya wimbo wake mpya aliowezakuuachia hivi karibuni, Hivyo ukiwa kama SHabiki namba Moja kaa mkao wa Kula kupata kitu kizuri kutoka Kwa msanii Huyu mkali wa Bongo fleva Nchini

Tags
HABARI ZA WASANII