PICHA:: MAMA SALMA KIKWETE ALIPOTEMBELEA SHULE YA MSINGI MPILIPILI KWENYE KITENGO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akimsikiliza mtoto mwenye mahitaji maalum Mohammed Hashim aliyeweza kuimba vizuri wimbo wa Taifa.
Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza mtoto Mohammed Hashim mara baada ya kuimba wimbo wa Taifa.…
Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kufundisha darasa la wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma katika Shule ya Msingi Mpilipili huko Lindi tarehe 11.2.2015.
Mama Salma Kikwete

Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete akisahihisha madaftari ya wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma Shule ya Msingi Mpilipili katika Manispaa ya Lindi mara baada ya kuwafundisha na kuwapa zoezi wanafunzi hao.
Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mpilipili mara baada ya kutembelea kitengo cha elimu maalum shuleni hapo tarehe 11.2.2015.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post