Unknown Unknown Author
Title: MATOKEO YA VPL LEO HII:: YANGA YAINYUKA TANZANIA PRISON GOLI 3 - 0
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya Yanga inafanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3 - 0 dhidi ya Prisons,kupitia kwa magoli ya Msuva akimalizia kona za Andrey Coutinh...
Yanga Vs Prison
Timu ya Yanga inafanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3 - 0 dhidi ya Prisons,kupitia kwa magoli ya Msuva akimalizia kona za Andrey Coutinho dakika ya 3 na 63 huku Andrey Coutinho akifunga katika dakika ya 11.

Kwa matokeo haya Yanga wanakaa kileleni kwa pointi 28 huku Azam akishuka hadi nafasi ya 2 kwa pointi 26 baada ya kutoka sare dhidi ya ruvu shooting.
MSimamo wa Lgi kuu
Msimamo wa ligi kuu ya vodacom

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top