Unknown Unknown Author
Title: HII NDIO ZAWADI YA GHARAMA ALIYOITOA DIAMOND PLATNUMZ KWA MPENZI WAKE MPYA.....#NOUMERSANA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mapenzi Moto moto ya Mwanamuzi Diamond kwa Mpenzi wake mpya bado yanaendelea ku make headlines baada ya kumnunulia Pete na Cheni ya mkono...
Zari na Diamond
Mapenzi Moto moto ya Mwanamuzi Diamond kwa Mpenzi wake mpya bado yanaendelea ku make headlines baada ya kumnunulia Pete na Cheni ya mkononi Zari the lady boss , Kama picha inavyoonyesha hapo zote ni za dhahabu pure ila gharama zake hatukuweza kujua kwa haraka ...
Zari na Diamond
Zari Ameweka picha hiyo na kuandika maneno haya ..Woke up to some 24 carat eish. Thank you Boo, xoxo...#QueenTingz..

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top