MATEKA MWINGINE WA KIJAPANI AUAWA KWA KUCHINJWA SHINGO

Mateka wa kijapani auawa
Taarifa za hivi punde zinabainisha kuwa mwandishi wa habari raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa na kundi linalojiita Islamic state of Iraq and the levant ameuawa kwakuchinjwa Shingo na kundi hilo..

Awali ISIL ilihitaji dola million Mia mbili kama kikombozi (ransom) ili kumwachia huru madai yaliyopingwa na JapanaKenji goto anakuwa mjapani wa pili kuuawa katika kipindi cha mwezi mmoja na kundi hilo

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post