BAADA YA WOLPER KUZINGUA, MANAIKI ARUSHA NDOANO KWA UWOYA?

Manaik na Uwoya
Baada ya ishu yake yakutaka kumposa Wolper kugonga mwamba hii ni kwa mujibu wa magazeti ya udaku hapa bongo, mwigizaji machachali Manaiki Sanga ‘The Don’ usiku wa jana......

alitupia picha mtandaoni akiwa na mwanadada Irene Uwoya (Hiyo hapo juu) na kuwa “tag” mastaa kibao wa filamu wa hapa Bongo.

Hali hii ilisababisha watu wengi kuhoji kama Manaiki ameamua kumchumbia Irene baada ya Wolper kuzingua au nini?, maswali hayo hayakupata majibu lakini wapo baadhi walidai kuwa Manaiki kwasasa ana project mpya ya kutengeneza filamu ambayo itawashirikisha mastaa zaidi ya 30 wa hapa bongo, na hivyo basi Uwoya anaweza kuwa ni moja kati ya mastaa amabo watashiriki.

Tuendelee kusubiri, muda utaongea!!!.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post