Unknown Unknown Author
Title: LINAH APASUA JIPU ASEMA "SIJAWAHI KUPATA MAPENZI YA KWELI TOKA NIMEYAJUA"
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Linah amekiri kuwa tangu ayajue mapenzi, hajawahi kumpata mwanaume aliyempa mapenzi ya kweli. Akiongea kwenye kipindi cha Funiko Base ch...
Linah amekiri kuwa tangu ayajue mapenzi, hajawahi kumpata mwanaume aliyempa mapenzi ya kweli.
Linnah
Akiongea kwenye kipindi cha Funiko Base cha Radio 5, Linah ambaye hivi karibuni aliachia ngoma mpya ‘Hello’ aliyoshirikiana na Christian Bella amedai kuwa ndio maana amekuwa akiimba ujumbe kama huo kwenye nyimbo zake.

“Lakini sasa hivi nimepata mapenzi ya kweli,” amesema.

“Sijawahi kukaa kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka mitatu lakini sasa nimekaa kwenye mahusiano kwa miaka mitano,” ameongeza.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top