UKATILI WAZIDI KUSHAMIRI NCHINI:: MWANAMKE AUA WATOTO WAKE NA KUWAIKA NDANI YA NYUMBA ANAYOISHI

mauaji taboraKatika Hali isiyo yakawaida Mwananmke Mmoja Mkazi wa Kata ya Chemchem Mkoani Tabora ametiwa Nguvuni na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa Kosa la Mauaji ya watoto wake wawili ambao walikutwa wamezikwa ndani ya Nyumba anayoishi mwanamke huyo. 

mauaji tabora
Mama akiwa ndani ya Gari ya Polisi Baada ya Kutiwa nguvuni kwa kosa la mauaji

Tukio hilo la kukamatwa mwanamke huyo limetokea Leo hii, Sababu za Mauaji hayo imetajwa kuwa ni Ugumu wa maisha.


Mwanamke huyo yuko Chini ya Ulinzi wa Polisi wakati uchunguzi ukiendelea....!!!!
mauaji tabora

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post