PITA PITA ZANGU NDANI YA MKOA WA LINDI, LEO TUMEANGAZIA JIMBO LA MTAMA KIJIJI CHA CHIHUTA

Chiuta primary schoolHaya ni madrasa na Nyumba za walimu pamoja na choo cha shule ya msingi Chihuta iliyopo kijiji cha Chihuta kata ya Mandwaanga wilaya ya Lindi vijijini jimbo la Mtma ambapo anatokea ndugu yetu Nape Moses Mnauye amabaye ametia nia ya kugombea ubunge jimbo la mtama.
Chiuta primary school
Moja ya Madarasa katika Shule Hiyo
Chiuta primary school

Shule hii imejengwa tangu mwaka 1972 lakini haina ukarabati wowote wa serekali, Jamani Viongozi Mliopata nafasi msisahau nyumbani.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post