UTAZAME HAPA MWIMBO MPYA WA VIKATUNI WA WASANII MAARUFU NCHINI, UNAITWA "TOKOMEZA ZERO"

Wasanii maarufu wa muziki nchini wanaoguswa na hali ya elimu nchini Tanzania wameachia video ya kipekee ya wimbo wa Tokomeza Zero wenye lengo la kuelimisha, kuburudisha na kuitaka jamii nzima kuipa kipaumbele sekta ya elimu.

Wimbo huo umeimbwa na Mwasiti, Linah, Roma, Stamina, Maunda Zorro, Peter Msechu, Mwana FA, Linex, Keisha, Diamond na Kala Jeremiah.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post