PITA PITA ZANGU NDANI YA MKOA WA LINDI, LEO TUMEANGAZIA JIMBO LA MTAMA KIJIJI CHA SIMANA

shule ya msingi mnengulo
Haya ni moja ya madarasa pamoja na choo ya shule ya msingi mnengulo yaliyopo kitongoji cha Mnengulo kijiji cha Simana kata ya Mnolela wilaya ya Lindi Vijijini Jimbo la Mtama ambaye Mh Bernard Kamilius Membe ndio mlezi wa shule Hii Ambayo ina vyumba Viwili Vya Madarasa. 
shule ya msingi mnengulo
Moja ya Darasa shule ya msingi mnengulo
shule ya msingi mnengulo
Choo cha shule ya msingi mnengulo


Je kwa hali hii watoto watapata Elimu Bora au Bora Elimu?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post