PICHA YA MTOTO WA WILL SMITH "WILLOW" YALETA UTATA MTANDAONI, LAWAMA YAENDA KWA WAZAZI

Willow Smith
Msanii wa pop Willow Smith amezua utata kwenye mitandao baada ya kuweka picha inayoonyesha umbo la maziwa yake. Willow mwenye miaka 14 ambaye ni mtoto wa mwigizaji Will Smith na Jada amepokea mitazamo hasi kuhusu picha hii huku watu wengine wakilaumu malezi ya wazazi wake.

Baada ya muda mfupi picha hio ilitolewa kwenye Ukurasa wake wa Instagram.
Willow Smith
 post
post 
post 
post 
post

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post