Unknown Unknown Author
Title: MSANII WA BONGO FLEVA JUMA NATURE KUMNG'OA MTEMVU TEMEKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii nguli wa kizazi Juma Kasim Kiloboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la Temeke. akiongea na Lindiyetu.com akiwa Mjini ...
Juma NatureMsanii nguli wa kizazi Juma Kasim Kiloboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la Temeke. akiongea na Lindiyetu.com akiwa Mjini Zanzibar kwa njia ya simu, Amesema yakuwa ataweka bayana  Hivi karibuni ni Chama gani atatumia kutimiza lengo hilo, 

Ameongeza yakuwa amechukua uamuzi huo mara baada ya kuona ana kila sababu ya kuwa mmoja wa wananchi ambao wanauwezo wa kuwaondolea kelo wakaz wa temeke. 

Lakini tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha kafu, lakinu mh,sugu amemshauri, kugombea kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jambo ambalo bado analifikiria.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top