Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ ATUMIWA VIDEO YA NUSU UCHI NA MREMBO HUYU, KWELI USTAA SHIGIDI SHEEDAH....!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Unaukumbuka Wimbo wa Diamond Platnumz alioimba "Ntampata wapi ??"". ..Unaambiwa mabinti kibao wameanza kujigonga ...
Tiara
Unaukumbuka Wimbo wa Diamond Platnumz alioimba "Ntampata wapi ??""...Unaambiwa mabinti kibao wameanza kujigonga kwake kutokana na wimbo huo.

Mrembo na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23 toka nchini Kenya amemtaka Diamond aende nchini Kenya kumchukua tena bila malipo yoyote....

Tiara amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka Diamond Platnumz. Kama ni Sura ya mtaratibu , Macho ya Aibu na umbo Mahabibu anavyoooo...!!!!!

Angalia Video hapo chini ujionee Mambo Matamu aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..Zari Upo ? Ongeza Utundu mama.

Tazama Video Bofya Hapa

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top