Unknown Unknown Author
Title: MSANII KUTOKA NIGERIA "WIZKID" (@wizkidayo) KUFANYA SHOW NCHINI TANZANIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mashabiki wa msanii kutoka Nigeria, Wizkid watarajie kumshuhudia staa huyo juu ya jukwaa la nyumbani. Wizkid anatarajia kuja Tanzania mwaka...
Mashabiki wa msanii kutoka Nigeria, Wizkid watarajie kumshuhudia staa huyo juu ya jukwaa la nyumbani.
Wizkid anatarajia kuja Tanzania mwaka huu (2015) kwa mara ya kwanza.

wizkidayo
Wizkid

Mwimbaji huyo wa ‘Show You The Money’ ameweka ratiba ya shows anazotarajia kuzifanya na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ziko kwenye ratiba hiyo.

“Gambia ,London ,Tanzania ,Kenya, South Africa, Congo, Dubai , New York nd the Europe tour! Starboy starting 2015 heavy. Get ready guys !!” alitweet Wizkid

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top