Unknown Unknown Author
Title: HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA BallondOr KWA MWAKA 2014, HUKU RONALDO AKISHINDA MARA MBILI MFULULIZO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
FIFA BALLON D'OR: The winner is :: Cristian Ronaldo - Partugal/Real Madrid CRISTIANO RONALDO, kwa Mwaka wa Pili mfululizo ameshinda ...
FIFA BALLON D'OR: The winner is:: Cristian Ronaldo - Partugal/Real Madrid

CRISTIANO RONALDO, kwa Mwaka wa Pili mfululizo ameshinda FIFA Ballon d'Or ambayo ni Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani kwa Mwaka 2014 na kuwafunika Wapinzake wake Lionel Messi na Manuel Neuer.
Ronaldo alitangazwa Mshindi kwenye Hafla iliyofanyika Leo hii huko Ukumbi wa Kongresshaus Jijini Zurich huko Uswisi na hii ni mara ya 3 kwake kuizoa Tuzo hii ambayo Messi anaongoza kwa kuitwaa mara 4.

WASHINDI WENGINE NI:=

FIFA Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka MwanamkeNadine Kessler
FIFA Tuzo ya Goli Bora la Mwaka [Puskas Award]: : James Rodriguez - Real Madrid
FIFA Tuzo ya Uchezaji Haki [Fair Play Award]: volunteers from FIFA tournaments
FIFA Kocha Bora wa Mwaka Wanaume:  Joachim Low
FIFA Kocha Bora wa Mwaka Wanawake: Ralf Kellermann
FIFA Tuzo ya Rais [Presidential Award]: Japanese journalist Hiroshi Kagawa
FIFA/FIFPro World XI Kikosi Bora cha Mwaka: Kama walivyochagulia wa Wachezaji Wenzao

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top