GUINEA YAFUZU KWA SANDAKALE, MALI YARUDISHWA NYUMBANI

guinea vs Mali
GUINEA imeshinda kamari iliyopigwa kupata timu ya pili ya kundi D inayofuzu robo fainali ya kombe la Mataifa ya Africa, Afcon 2015 na sasa itacheza na Ghana katika hatua hiyo.

Sheria ya CAF kipengele cha 74 kimetumika kuamua mshindi baina ya Mali na Guinea ambao walimaliza wakifanana kwa kila kitu.
Sheria hiyo pia inatumika na shirikisho la soka Duniani FIFA.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post