
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba.
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba amekimbizwa leo Hospitali ya UN Clinic ya Kinondoni, Dar, baada ya presha kushuka akiwa makao makuu ya Polisi kujibu shutuma za kuandamana jana.
Habari kamili itakujia hivi punde
Tags
HABARI ZA KITAIFA