Unknown Unknown Author
Title: BINT WA MIAKA 12 AWEKA HISTORIA KUBWA DUNIANI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Unapokuwa karibu na mtoto wako na kumfuatilia ni rahisi kujua kipaji chake na kukiendeleza ingawa ni wazazi wachache wanaoweza kufanya hi...
Zuriel Oduwole
Unapokuwa karibu na mtoto wako na kumfuatilia ni rahisi kujua kipaji chake na kukiendeleza ingawa ni wazazi wachache wanaoweza kufanya hivyo, msichana kutoka Nigeria ambaye anasoma Marekani anakuwa msichana mdogo aliyeweza kuvunja rekodi kadhaa kubwa duniani.

Zuriel Oduwole, umri wake ni miaka 12, ameweka historia nyingine baada ya documentary yake ya ‘A Promising Africa’ kuwa documentary ya binti mdogo zaidi duniani kuonyeshwa katika majumba makubwa ya cinema.

Jarida la Forbes lilimtaja kuwa msichana mdogo mwenye asili ya Afrika ambaye ni miongoni mwa watu 100 mashuhuri wenye ushawishi zaidi Afrika waliotajwa kwa mwaka 2013 wakiwemo Marais watatu, pia akawa na rekodi ya kuwa mtu mdogo zaidi dunia kuandikwa historia yake katika Jarida la Forbes.
Zuriel Oduwole
Documentary hiyo itaonyeshwa London, Januari mwaka huu na baadaye itaanza kuuzwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top