Unknown Unknown Author
Title: BASI LA MANING NICE LAPATA AJALI NA KUSABABISHA MAJERUHI KADHAA.....!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Basi la Maning Nice ambalo limetoka dar leo Kuelekea Masasi lagongana na gari dogo na kupoteza mwelekeo. Latumbukia bondeni katika kijiji ...
Basi la Maning Nice ambalo limetoka dar leo Kuelekea Masasi lagongana na gari dogo na kupoteza mwelekeo. Latumbukia bondeni katika kijiji cha Mkiu mapema asubuhi ya Leo, Katika ajali hiyo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa.... 

Taarifa zaidi tutawaarifu

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top