Unknown Unknown Author
Title: BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUKATAA HANA BIFU NA DAVIDO....DAVIDO KAMPAKIJEMBE TENA CHEKI HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Diamond Platnumz kukanusha kuwa hakukuwa na bifu baina yake na Davido lakini kwenye Twitter limeibuka lingine na moja kwa moja...
Davido
Baada ya Diamond Platnumz kukanusha kuwa hakukuwa na bifu baina yake na Davido lakini kwenye Twitter limeibuka lingine na moja kwa moja likiwa linamlenga Diamond.

Kutoka kwenye akaunti ya Twitter ya msanii Davido kutoka Nigeria ametweet maneno yanaonyesha kufedheheshwa na tabia ya Diamond Platnumz na alichokiandika hiki hapa chini
"Niggas forget who helped them ..... So quick .... God don bless me I do my thing dey go keep my name out ur mouth !! WHO U DON HELP IDIOT!"
"Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool!!"
Ushahidi wa picha huu hapa chini:-

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top