
Pappis Cisse (kushoto) akifungia bao la pili timu yake ya Newcastle dakika ya 79.
Wachezaji wa timu ya Newcastle wakishangilia kwa pamoja

Kipa wa Newcastle, Jak Alnwick akiokoa moja ya mashambulizi ya Chelsea.

Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Drogba (katikati) akishangilia bao lake dakika ya 83
TAZAMA VIDEO HAPA
Tags
SPORTS NEWS