
Bi Aisha Kilonzo akiwa ame meremeta katika siku ya Ndoa yake iliyufungwa Tarehe 6/12/2014 Jijini Dar es salaam Maeneo ya Tabata. Hakika Ulipendeza. Lindiyetu.com Inakutakia kila lakheri katika Maisha yako ya Ndoa. MUNGU AWAONGOZE

Bi Harusi akiwa na Mpambaji wake Shuu Saloon Iliyopo Temeke Pile Jijini Dar es salaam waweza Kumpata kwa Namba 0652281060

Kulia ndie Mume wa Bi aisha akiwa na Mpambe wake siku ya Ndoa yake na Bi aisha

Bi Aisha akiwa na Mumewe pamoja na Wazazi wakiingia katika Ukumbi wakati wwa sherehe ya Ndoa yao iliyofanyika Tarehe 6/12/2014, Tabata na Dua kusomwa katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Jamhuri Jijini Dar es salaam

Busu Zitto akipewa Bwana Harusi, Hakika ilikuwa siku ya Furaha

Bi Aisha akiwa mwenye Furaha isiyo na Kifani

ilikuwa ni Mwendo wa buku ten ten na Midolali na Ma Euro

Mr. and Mrs wakiwa katika Pozi

Mr. Blogger akiwa katika Picha ya Pamoja na Bwana na Bibi Harusi
Tags
WATU MAARUFU