Unknown Unknown Author
Title: UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA:: MTWARA CCM YAPATA UPINZANI MKALI, YASHINDA KWA KURA 5
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Haya ndio matokeo ya Mtwara katika uchaguzi wa serikali za Mitaa,  Mitaa 111, CCM imeshinda 58 wakati upinzani umepata 53, CUF wamepata ...
Haya ndio matokeo ya Mtwara katika uchaguzi wa serikali za Mitaa, 
Mitaa 111, CCM imeshinda 58 wakati upinzani umepata 53, CUF wamepata viti 34, Chadema 16, NCCR 4 na TLP 1. 

Viongozi wa CCM wanasema kwamba kwa mara ya kwanza wamepata upinzani mkali mkoani humo na wanajipanga kuweka mambo sawa siku za usoni.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top