Unknown Unknown Author
Title: MOVIE BADO LINASONGA:: JE POST HII YA DIAMOND NI KIJEMBE KWA ZILIPENDWA WAKE WEMA SEPETU..?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kupitia Social Networks, Mkali wa Nyimbo ya Number One na pia Ntampata wapi, Diamond Platnumz ameandika ujumbe mzito ambao mashabaki we...
Diamond na Wema
Kupitia Social Networks, Mkali wa Nyimbo ya Number One na pia Ntampata wapi, Diamond Platnumz ameandika ujumbe mzito ambao mashabaki wengi wanadhani ni ujumbe kwenda kwa mpenzi wake wa zamani Beautiful Onyinye, Wema Sepetu licha ya kwamba mkali huyo alikua anampa promo msanii shilole kwani hata picha ilikua inajieleza.
Shilole - Molele
"Moja ya mfano mzuri tulionao Nchini...wakati anaanza kila mtu alimdharau na kumuona hatofika popote laikini leo hii Huwezi kuskia show kubwa inafanyika Nchini bila yeye Kuwepo...Dada zangu msikubali kuishi maisha ya kutegemea, Mbona mkijiamini wenyewe mnaweza... hivi hadi lini mtanyanyasika na Kuporwaporwa vitu baada ya Mahusiano kufa..Amkeni sasa! " #Sio_wanaake_wote Huu mzigo wake mpya #MALELE @shilolekiuno
Kuachana kwa Diamond na Wema kumetengeneza makundi tofauti tofauti kwenye mitandao ya Kijamii kiasi yakwamba wawili hao wakiandika chochote basi hudhaniwa/huchukuliwa kama kijembe.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top