SAFIRI NA BARAKA CLASSIC LINDI TO DAR ES SALAAM, KILA SIKU

Baraka ClassicBaraka Classic inapenda kuwatangazia wateja wake kuwa sasa Imeboresha Huduma ya Usafiri wa Kwenda Dar es Salaam kutoka Lindi kwa Kuongeza Bus Jipya kabisa aina ya YuTong.
Baraka ClassicBasi Hilo linatarajia Kuanza Safari zake Tarehe 1/1/2015 ambalo litafanya Route ya Lindi - Dar es Salaam ambapo Kutoka Lindi litakuwa linaondoka saa 12:00asubuhi na Kugeuza siku hiyo hiyo Kutoka Dar es Salaam Kuja Lindi ambapo litaondoka Dar es Salaam saa 7.30mchana Kila siku.
Baraka Classic
Kwa Usafiri Bora Kabisa Safiri na Baraka Classic

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post