Kama kawa watoto na michezo kila siku, libeneke moja kwa moja kitaani na kuwanasa watoto wakisukuma kete kilingeni, kwa kucheza mchezo wa drafti ambao ni mchezo unao chezwa mara nyingi na watu wazima lakini leo mchezo huo umevamiwa na watoto.
mashabiki wakiwa makini na usukumaji wa kete wa wadau wao.
watoto hawa wakidigitali bila shaka huwenda wakawa wana cheza kamchezo ka kubeti kwajinsi mashabiki wa wachezaji hao walivyo simama duu.