Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band almaarufu FFU-Ughaibuni
yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri katika kusherehekea miaka
53 ya Uhuru . Salam hizi za heri ya 9 Disemba ziwafikie watanzania wote walio
nyumbani na nje ya nchi.
Ngoma Africa band chini ya uongozi wake Kamanda ras
Makunja unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ngoma-africa.com
pia at https://itunes.apple.com/album/id947329929 au http://play.spotify.com/album/4kG86JgvuyWQtgCPCPmCkY
Tags
HABARI ZA WASANII