ITAZAME VIDEO MPYA YA VICTORIA KIMANI WIMBO UNAITWA "SHOW"

Msanii wa record lebel kubwa africa Chocolate City Victoria Kimani ametoa video yake mpya aliyoipa jina ‘Show’. Kazi imetengenezwa na producer Tekno Miles. Model wa kiume kwenye video ni rapper Aka wa South Africa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post