HII NDIO TUZO ATAKAYO POKEA KANYE WEST MWAKA 2015, BOFYA HAPA KUJUA NI TUZO IPI

Kanye West
Kwa mchango wake kwenye muziki, filamu, mitindo na sanaa umemfanya awe mtu tofauti kwenye jamii ya wasanii na hii inampa haki ya kupewa tuzo ya Visionarykwenye tuzo za BET Za Heshima za mwaka 2015.Kanye anapewa tuzo hii kwa kazi zake alizo fanya kama Producer, msanii, kuongoza filamu na kubuni mavazi na kufanikiwa kwenye vyote.

Kanye ambaye anatoka mji wa Chicago atapewa tuzo hii pamoja na Wamarekani weusi kama Usher, Phylicia Rashad, John W. Thompson na Dr. Johnnetta B. Cole ambao pia wameleta mabadiliko kwenye business, maigizo, sanaa, muziki na technology.

Tuzo zitarekodiwa Jan. 24 nakurushwa Feb. 23 kwenye kituo cha BET.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post