FA CUP: KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND KUINGIZWA KATIKA DROO YA RAUNDI YA 3 LEO!

FA CUP
KLABU za Ligi Kuu England pamoja na za Daraja la chini yake, Championship, Leo hii zinatumbulizwa kwenye Droo ya kupanga Mechi za Raundi ya Tatu ya FA CUP na miongoni mwa Timu zilizofuzu Raundi za awali na kuingizwa kwenye hii Droo ya Leo ni Blyth Spartans na Worcester City ambazo zipo nje ya Mfumo wa Ligi huko England.

Droo hiyo itafanyika kuanzia Saa 4 Usiku, Saa za Bongo, na pia kumshirikisha Straika wa zamani wa England Alan Shearer, ambae alicheza Fainali za Miaka ya 1998 na 1999 bila kutwaa Kombe hili, katika uendeshaji wake.
FA CUP
Mabingwa Watetezi wa FA CUP ni Arsenal ambao kwenye Droo wamepewa Namba 2 na Manchester United, ambao ndio washika Rekodi kwa kulitwaa mara 11 pamoja na Arsenal, watakuwa na Namba 25.

Mechi za Mechi za Raundi ya Tatu ya FA CUP zitachezwa kati ya Januari 3 na 6 Mwakani.

Timu zilizo kwenye droo na Namba zao:
NUMBER
TEAM
NUMBER
TEAM
1
AFC Bournemouth
33
Rotherham United
2
Arsenal
34
Sheffield Wednesday
3
Aston Villa
35
Southampton
4
Birmingham City
36
Stoke City
5
Blackburn Rovers
37
Sunderland
6
Blackpool
38
Swansea City
7
Bolton Wanderers
39
Tottenham Hotspur
8
Brentford
40
Watford
9
Brighton & Hove Albion
41
West Bromwich Albion
10
Burnley
42
West Ham United
11
Cardiff City
43
Wigan Athletic
12
Charlton Athletic
44
Wolverhampton Wanderers
13
Chelsea
45
Oxford United au Tranmere Rovers
14
Crystal Palace
46
Bury or Luton Town
15
Derby County
47
Wrexham
16
Everton
48
Scunthorpe United au Worcester City
17
Fulham
49
Colchester United
18
Huddersfield Town
50
AFC Wimbledon
19
Hull City
51
Accrington Stanley au Yeovil Town
20
Ipswich Town
52
Blyth Spartans
21
Leeds United
53
Chesterfield
22
Leicester City
54
Southport
23
Liverpool
55
Gateshead
24
Manchester City
56
Doncaster Rovers
25
Manchester United
57
Preston North End
26
Middlesbrough
58
Barnsley or Chester
27
Millwall
59
Bradford City
28
Newcastle United
60
Sheffield United
29
Norwich City
61
Dover Athletic
30
Nottingham Forest
62
Cambridge United au Mansfield Town
31
Queens Park Rangers
63
Bristol City
32
Reading
64
Aldershot Town au Rochdale

TAREHE ZA RAUNDI:

-Raundi ya 3: 3 Januari 2015

-Raundi ya 4: 24 Januari 2015

-Raundi ya 5: 14 Februari 2015

-Raundi ya 6: 7 Machi 2015

-Nusu Fainali: 18 & 19 Aprili 2015

-Fainali: 30 Mei 2015
>>SOKA IN TANZANIA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post