
Msanii wa Bongo Fleva ambaye hivi karibuni alikuwa kwenye ziara Afrika kusini na nchi zingine tatu za ulaya Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole ametoa wimbo mpya baada ya single yake ya Namchukua kufanya vizuri. Wimbo mpya wa Shishi unaitwa Malele na umeandikwa na Barnaba wa THT na umetengenezwa na Nahreel.
Tags
MUSIC NEWS