DEREVA BODA BODA APATA AJALI MBAYA NA KUFARIKI PAPO HAPO

ajali dumilaDereva wa Boda Boda amepata ajali mbaya Mapema leo katika Eneo la Kijiji cha Dumila Mkoani Morogoro Ambapo ajali hiyo imehusisha Lori.
ajali dumilaMarehemu huyo Ameshindwa Kufahamika baada ya kupasuka kichwa, Dereva wa Lori Ajisalimisha Katika kituo cha Polisi Dumila
ajali dumila

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post