Hapo Jana wadau waliweza Kumuaga Bi. Jackline ambae amefunga Ndoa Leo hii .......
Sherehe hiyo ya kuagwa ilifanyika katika Ukumbi Mmoja (jina kapuni) Manispaa ya Lindi na Kuweza kuhudhuliwa na wadau mbalimbali...
Hongera Jackline Seth Kuyenga kwa hatua muhimu katika maisha.......